Imesasishwa mara ya mwisho: Agosti 2026
Bei zinazoonyeshwa kwenye tovuti hii ni za mwongozo tu. Bei halisi hutolewa kupitia nukuu rasmi (quotation) baada ya kuwasiliana nasi, na zinaweza kutofautiana kulingana na wingi, chapa, na aina ya bidhaa.
Oda zinathibitishwa baada ya makubaliano ya bei kati yako na sisi. Masharti ya malipo yatajadiliwa moja kwa moja kwa kila oda.
Tunahakikisha bidhaa zetu zinakidhi viwango vya usalama vilivyotajwa. Hata hivyo, mteja anawajibika kuhakikisha bidhaa alizonunua zinafaa kwa matumizi yake mahususi.
Kwa maswali kuhusu masharti haya, wasiliana nasi: info@geitasafetysupplies.com au simu +255 769 719 391.